TANGAZO LA MAFUNZO

Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali(CGCLA) inapenda kuwatangazia  huduma ya Mafunzo ya uchukuaji wa sampuli za vinasaba (DNA)   Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali inawatangazia Mafunzo ya Uchukuaji wa Sampuli za Vinasaba (DNA) Kwa Askari Polisi na Watendaji wa Afya (Medical Practitioners) yatakayofanyika tarehe 02 Disemba Hadi tarehe 06 Disemba