Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Zanzibar.
Zanzibar, Tarehe 25/11/2025- Mafunzo ya kujenga uwelewa juu ya matumizi sahihi ya kemikali katika mabwawa ya kuogelea(swimming pool)
Maafisa kutoka Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali-Zanzibar wakitoa mafunzo ya matumizi na uhifadhi salama wa kemikali kwa _Pool attendant na uwelewa wa vimelea vinavyoweza kuzaliwa nadani ya Bwawa la kuogelea.



