Maafisa kutoka Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali-Zanzibar wakiendelea kutoa mafunzo ya matumizi na uhifadhi salama wa kemikali Pool attendant na uwelewa wa vimelea vinavyoweza kuzaliwa nadani ya Bwawa la kuogelea(swimming pool)
Maabara ya vimelea ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa serikali ikifanya mafunzo ya matumizi ya _rapid test kits_ ya kugundua vimelea aina ya salmonella kwenye sampuli za chaza yakiongozwa na timu kutoka Incaba Biotech kwaajili ya kurahisisha uchunguzi kwa ufanisi na ubora zaidi tarehe 18.11.2025 katika ukumbu wa Ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali.
Zoezi la kutiliana saini ya mkataba wa mariziano( M.O.U) kati ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa serikali na Chuo Kikuu Cha taifa( Suza) yaliofanyika katika ofisi za wakala wa maabara ya mkemia mkuu wa serikali Maruhubi..
Wataalamu wa Maabara kutoka Nchini China wakilembelea Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu Zanzibar kwa lengo la kubadilishana uzoefu pamoja na kuimarisha uhusiano uliokuwepo.
Mkurugenzi Idara ya Kemikali na Mazingira Nd. Ussi Makame Kombo akitoa Mafunzo ya Wadau wakubwa wa Matumizi ya Kemikali.